JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MAJALIWA: SERIKALI IPO MAKINI NA AJIRA ZA WAGENI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Seriali ipo makini na ajira za wageni na itaendelea kuhakikisha kuwa Watanzania wanapewa fursa kwanza.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo…

​WAZIRI MKUU AKEMEA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea uharibifu wa makusudi ​wa miundombinu ya barabara na majengo unaofanywa na baadhi ya wananchi na kuwataka waache tabia hiyo mara moja.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika…

TGNP Mtandao yaanzisha kijiwe cha hedhi kuwasaidia wasichana

TGNP Mtandao imeanzisha kijiwe maalum cha hedhi kwa wanawake ili kuwawezesha watoto wa kike shuleni kujadili juu ya mwenendo wa hedhi salama. TGNP Mtandao imefikia uamuzi huo wa kuanzisha kijiwe cha hedhi baada ya kubaini uwepo wa watoto wengi wa…

Rais Magufuli Atoa Agizo kwa wanaodaiwa na JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli leo Alhamisi Mei 17, 2018 amefungua kituo cha Uwekezaji cha Suma JKT kilichopo Mgulani. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama…

Nondo Akwama Ombi la Kumkataa Hakimu, kuendelea na Kesi Yake

Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Iringa, John Mpitanjia anayeendesha kesi inayomkabili Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo amekataa kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa, ushahidi wa mtuhumiwa anayetaka ajitoe haujajitosheleza. Katika maombi ya msingi,…

Burundi wanapiga kura ya maoni leo kutoa maamuzi ya muda wa muhula wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka tano hadi saba

Burundi inafanya kura ya maamuzi hapo inayopania kuongeza muhula wa rais kutoka miaka tano hadi saba. Marekebisho hayo ya katiba yakiidhinishwa na wananchi huenda rais Pierre Nkurunziza akaongoza taifa hilo hadi mwaka wa 2034. Lakini kampeni hizo zimechafuliwa na tishio…