Latest Posts
Iran yatishia kushambulia kambi za Marekani
Waziri wa Ulinzi wa Iran Aziz Nasirzadeh, amesema nchi hiyo itajibu mgogoro wowote utakaotokea iwapo majadiliano ya nyuklia kati ya Jamhuri hiyo ya kiislamu na Marekani yatafeli. Nasirzadeh amesema taifa lake litakuwa tayari kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo…
Ruto alaani kuuwawa mwanablogu mikononi mwa polisi Kenya
Rais wa Kenya William Ruto Jumatano amelaani mauaji ya mwanablogu mmoja nchini humo yaliyotokea katika seli ya Polisi alimokuwa akishikiliwa, tukio lililozusha hasira miongoni mwa Wakenya. Awali polisi ya Kenya ilikuwa imesema kuwa Albert Ojwang, aliyekamatwa kwa chapisho aliloliweka kwenye…
Wananchi watakiwa kuchangamkia biashara ya kaboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa wito kwa sekta binafsi na wananchi kwa ujumla kuendelea kuchangamkia fursa za uwekezaji katika biashara ya kaboni ili kuinua uchumi na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti na kuitunza. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu…
TAKUKURU yanasa mali za wakulima za bil.1.4/-
Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imekamata mali za wakulima wa zao la tumbaku zenye thamani ya sh bil 1.4 zilizokuwa zimeibiwa na wafanyabiashara katika vyama vya msingi vya wakulima. Hayo…
Lala salama mwanasiasa mkongwe, hakika nitakukumbuka, Mzee Mustafa Songambele
Na Mohamed Said, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa ya ajabu sana kwangu. Ubongo wangu umekuwa ukishughulishwa na kumbukumbu za watu na mambo mengi ya nyuma nikiwa mtoto mdogo, sijafikia hata umri wa miaka 15 na sijui kwa nini?…