Latest Posts
Baba na watoto wake mbaroni kwa tuhuma za kuua
Jeshi la Polisi linawashikilia ndugu wa familia moja ambao ni Solomon Mwambyale (68) pamoja na watoto wake wawili, Stephano Mwaisango (32) na Emmanuel Mwaisango (36), wote wakazi wa Busoka Masebe, kwa tuhuma za kumuua Jenti Segelela (87) ambaye ni shemeji…
Wanne mbaroni kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi yenye uzito wa kilo 45 na gramu 785 katika nyakati tofauti. Watuhumiwa hao wametajwa kuwa ni Wilfred Komba (24), mwanafunzi wa…
Mchengerwa: Sitakubali kuhujumiwa
*Aapa kuilinda NHIF kwa nguvu zote dhidi ya wajanja *Kicheko matibabu saratani, safari za India kubaki historia *Malawi kuanza kuleta wagonjwa 1,900 Ocean Road Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameapa kupambana na magenge ya watu…
Rais Samia, Museveni malizeni kero tule maisha
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo nimetoka kanisani. Ni Dominika ya Februari 8, 2026. Najua makala hii itachapishwa gazetini siku ya Jumanne Februari 10, 2026. Somo kuu katika Injili, imehojiwa kuwa “Chumvi ikiharibika itatiwa nini?” Baba Moses Mbilinyi…
Baridi kali jijini New York yasababisha vifo vya watu 18
Jumla ya watu 18 wamefariki dunia kutokana na kipindi cha baridi kali jijini New York, kwa mujibu wa meya wa jiji hilo. Tangu mwishoni mwa Januari, jiji hilo limekumbwa na wimbi la baridi kali, likiwemo siku 13 mfululizo ambapo joto…




