JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RAS Arusha asisitiza utendajikazi unaozingatia maadili ya utumisi wa umma

Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dk. Toba Alnason Nguvila, amewasistiza watumishi wa Umma kufanya kazi kwa kufuata Sheria, taratibu na kanuni kwa kuzingatia kiwango cha juu cha Maadili ya Utumishi wa Umma, ili kufikia lengo la Serikali la kuwahudumia…

Dk Gwajima asisitiza ushirikiano wa jamii kutokemeza ukeketaji na kuimarisha malezi ya mtoto

‎Na WMJJWM – Arusha ‎Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mheshimiwa Dkt. Dorothy Gwajima, ametoa wito kwa jamii kushirikiana kikamilifu na Serikali katika kutokomeza vitendo vya ukeketaji wa wanawake na wasichana, akibainisha kuwa licha ya mafanikio…

Dk Mwigulu azindua uwanja wa ndege Mtemere

Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 11, 2026 amezindua uwanja wa ndege Mtemere uliopo katika kijiji cha Mloka, mkoani Pwani kwenye hifadhi ya Taifa ya Nyerere. Uzinduzi wa uwanja huo umeenda sambamba na uzinduzi wa miradi mingine 20 (kufanya…

Kwagilwa akagua ICU ya kisasa Handeni Mji, kuimarisha huduma za afya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Handeni Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amekagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni, mradi…

Naibu Waziri Londo atembelea Tume ya Ushindani, asisitiza uzalendo

Naibu Waziri wa viwanda na biashara, Mheshimiwa Dennis Londo ametembelea ofisi za tume ya ushindani nchini (Fair Competition Commission– FCC) ikiwa ni sehemu ya kuimarisha usimamizi na utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo katika kulinda ushindani wa haki nchini. Katika…