Latest Posts
Rais Samia aondoka nchini kushiriki mkutano wa 39 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameondoka nchini leo tarehe 12 Februari 2026 kuelekea Addis Ababa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi…
Msichana wa miaka 18 aua watu sita akiwemo mama yake kwa shambulio Canada
Polisi nchini Canada imethibitisha kuwa msichana mwenye umri wa miaka 18 ndiye aliyefanya shambulio la risasi na kuua watu sita katika shule ya Tumbler Ridge, baada ya kumuua mamake mzazi na kaka yake wa kambo. Mshambuliaji huyo alijiua baadaye na…
Burkina faso kujifunza mageuzi ya usimamizi na uendeshaji sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, Dodoma TANZANIA imeendelea kuimarisha na kuthibitisha nafasi yake kama kitovu cha maarifa na uzoefu katika usimamizi na uendeshaji wa Sekta ya Madini barani Afrika, baada ya kupokea Ujumbe wa kitaalamu kutoka Burkina Faso uliokuja kujifunza mifumo na…
Siku 100 za Rais Samia, sekta ya mafuta na gesi kama nguzo ya maendeleo ya Taifa
Na Rashid Mtagaluka, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAREHE 14 Novemba 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, alilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano kwa hotuba ya kihistoria iliyoweka wazi dira ya Serikali kwa muhula…
Umoja wa Ulaya kushirikiana na Tanzania kwenye Mnyororo wa Thamani wa Madini
Na Mwandishi Wetu Umoja wa Ulaya (EU) umeonesha nia ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika mnyororo mzima wa thamani wa madini, ikiwemo ujenzi wa uwezo kwa wataalam wa madini, mafunzo ya ufundi stadi, teknolojia za kisasa, na utunzaji wa data…





