Latest Posts
‘Vijana wanaongoza kwenye changamoto ya kisaikolojia na akili’
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati magonjwa yasioambukiza yakiendelea kushika kasi, takwimu zinaonyesha kuwa kuna watu milioni 450 duniani wanaugua matatizo ya akili kila mwaka Takwimu hizo zinaeleza kuwa kati ya watu hao, takribani milioni moja hujiua kila…
Mtoto mchanga wa siku moja aibiwa Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mwanza Mtoto mchanga wa siku moja mwenye jinsia ya kike ameibiwa baada ya mwanamke mmoja kujitambulisha kuwa ni mke wa mmoja wa mama yake mzazi na kumbeba mtoto baada ya kuruhusiwa hospitalini katika Kata ya Buzuruga wilayani…
Dk Mwigulu amwakilisha Rais Dk Samia mkutano wa 43 wa AUDA – NEPAD
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Afrika (AUDA-NEPAD) uliofanyika kwa njia ya Mtandao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni…
MSD yabadilishana uzoefu na wataalamu kutoka Madagascar
Bohari ya Dawa (MSD) imeupokea ujumbe wa wataalamu kutoka Bohari ya Dawa ya Madagascar (SALAMA) kubadilishana uzoefu na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya afya, hususan mifumo na mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya. Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Mavere Tukai,…
Serikali yawekeza bilioni 59/- Ruaha
Serikali kupitia Mradi wa Resilient Natural Resource Management for Tourism and Growth (REGROW) imekamilisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, hatua inayolenga kuimarisha sekta ya utalii, kulinda rasilimali asilia na kukuza uchumi wa…
Ulega: Lipeni watu wanachostahili
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja. Waziri huyo ametoa maelekezo hayo wakati akikagua maendeleo ya barabara ya Same- Kisiwani- Mkomazi yenye urefu wa kilometa 100.5 ambayo…





