JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Dkt Magufuli aipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Mji wa Dodoma kuwa Jiji kuanzia leo Aprili 26, 2018. Rais Dkt Magufuli ameyasema hayo leo, katika shotuba yake aliyoitoa wakati wa maadhimisho ya…

Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau – 1

Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionesha kuwa idadi ya…

Bandari ya Mtwara fursa ya viwanda

Na Mwandishi Maalum Katika makala haya tunakuletea maelezo kuhusu Bandari ya Mtwara, ambayo ni miongoni mwa bandari kuu tatu (3) za mwambao wa Bahari ya Hindi zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari nyingine kuu ni…

Hotuba ya Rais Magufuli machimboni Mirerani (2)

  Hotuba hii ya Rais John Magufuli, aliitoa Aprili 6, 2018 wakati wa uzinduzi wa ukuta wa machimbo ya tanzanite Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara. Pamoja na mambo mengine, Rais Magufuli, alimzawadia mgunduzi wa madini hayo, Mzee Jumanne Ngoma, Sh milioni…

MALARIA YAPUNGUA MPAKA ASILIMIA 7. 3 NCHINI.

Kasulu, Kigoma MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yame pungua kwa Watoto chini ya miaka mitano kutoka asilimia 14.4 mwaka 2015 na kufikia asilimia 7.3 kwa Mwaka 2017 hii ni kuzigatia harakati zinazo fanywa na Wizara ya…