Latest Posts
Idara ya Usalama ipongezwe
Kama Watanzania wataulizwa leo nini walichokuwa wakikitarajia kwa nchi yao ya uhuru na kazi, basi jibu ni moja tu kwamba tulikuwa tunataka mabadiliko ya kuachana na mabepari wachache waliohodhi mali zetu ambazo tulizipata kutokana na jasho la siasa ya Ujamaa…
Sheria inasemaje unapoua wakati ukijaribu kujilinda?
Wakati mwingine kujilinda waweza kukuita kujitetea, kujiokoa au kujikinga. Ni hali ambayo mtu hufanya jitihada za kujinasua katika tendo ovu linalotekelezwa na mtu mwingine dhidi yake. Mfano wake ni kama kuvamiwa na majambazi, kutekwa, kufanyiwa fujo ya aina yoyote,…
Mabadiliko ya mwaka yaende sambamba na siasa za nchi
Huu ni Mwaka Mpya. Nawatakia Watanzania wote heri ya Mwaka Mpya wa 2016. Kawaida Wahaya wana jadi ya kuupa jina kila mwaka unaokuja. Mwaka huu wameupa jina la ‘yangua’ lenye maana ya harakisha. Jina hilo limetungwa na Filbert Kakwezi, kijana…
Vituko vya JK
Kwa miaka 10 mfulululizo Rais (mstaafu) Jakaya Kikwete hakutoa kipaumbele katika bajeti ya maendeleo hali iliyoathiri uchumi wa nchi na hivyo kudumaza uchumi wa mtu mmoja mmoja, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Mapitio ya kibajeti yanaonyesha kuwa Rais Kikwete alitilia mkazo…
Tanzania ikikusanya kodi haihitaji misaada
Tanzania kwa sasa inaweza kujiendesha bila kupata msaada wa nchi yoyote iwapo kasi ya ukusanyaji mapato, kuziba mianya ya uvujaji na matumizi sahihi ya kinachokusanywa itaendelea ilivyo sasa chini ya Rais John Pombe Magufuli. Uchunguzi wa mfumo wa kodi, mbinu…
Diwani CCM avamia barabara, ajenga
Diwani wa Kata ya Kijichi, Anderson Chale, analalamikiwa na wananchi wa mtaa wa Mbagala Kuu, Wilaya ya Temeke mkoani Dar es Salaam kwa kuvamia eneo la barabara na kujenga jingo. Wananchi hao wanasema kutokana na uvamizi huo uliofanywa kwa makusudi…