Latest Posts
CCM sasa tupeni mabadiliko ya kweli
Nina kila sababu na nia ya kutoa pongezi na kongole kwa Watanzania kumudu kuendesha kampeni ya uchaguzi na kuwachagua madiwani, wabunge na rais kwa njia ya utulivu na amani. Oktoba 25, 2015 imepita, ikiwaacha Watanzania hao katika sura mbili tofauti…
Matokeo ya urais somo kwa CCM
Uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umehitimishwa kwa mujibu wa taratibu zilizopo, na Dk. John Pombe Joseph Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye rais wetu mpaka uchaguzi mwingine utakapofanyika. Kwa mara ya kwanza ya historia yake…
Pongezi zangu kwa Dk. Magufuli
“Hayawi, hayawi, yamekuwa”. Kweli hayo ndiyo mapenzi yake Mwenyezi Mungu. Ulimtanguliza mbele wakati wa kampeni zako na sasa yametimia. Kusema kweli kumtanguliza na kumweka mbele Mwenyezi Mungu kuna faida nyingi. Nimezoea kuwaambia watoto wangu kuwa “kama baba awahurumiavyo watoto wamchao”,…
Vigogo chali
Wakati mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akiongoza kwa kura nyingi za urais dhidi ya mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, vigogo maarufu wenye majina makubwa, wamebwagwa kwenye kinyang’anyiro cha ubunge. Dk….
Lowassa hajanihonga – Mramba
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, amesema hajahongwa kiasi chochote cha fedha na wadau mbalimbali akiwamo Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, kama inavyodaiwa. Taarifa zilizopo zinadai kwamba Mramba amehongwa Sh. bilioni 4 na Lowassa…
Chonde chonde Zanzibar
Mgombea urais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, jana aliwaita waandishi wa habari na kuwapa takwimu za ushindi anaodai kuupata kwenye Uchaguzi Mkuu. Takwimu hizo zinaonesha kuwa Hamad anaongoza dhidi ya mpinzani wake mkuu, Rais Dk. Ali Mohamed Shein wa…