JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

“MAGUFULI TUBEBE”, INAWEZEKANA WIMBO HUU UKATUMIKA 2020

Wimbo special kwa mheshimiwa Rais Magufuli, wimbo huu umeandaliwa na Rose muhando. Kama umependa wimbo huu share na rafiki zako https://youtu.be/RYvqTwxC9q0

HUSSEIN BASHE AWAOMBA RADHI WOTE ALIOWAKOSEA

Katika salamu za kuazimisha kuzaliwa kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo ( Christmas) Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ametumia siku hii ya leo ya Christmas kuwaomba radhi wale wote aliowakosea katika utekelezaji wa majukumu yake.

MTWARA WASIMAMISHA MNADA WA KOROSHO

Chama kikuu cha Ushirika Cha Masasi,Mtwara Cooperative Union(MAMCU) kimelazimika Kusimamisha Minada ya zao la Korosho Iliyokuwa Ikifanyika kila Ijumaa kwa Kipindi cha Wiki Mbili kutokana na Wakulima Kukusanya Korosho ambazo hazijakauka hali inayoathiri Soko hilo. Kaimu Meneja wa MAMCU Potency…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Disemba 25, 2017

Kam upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatatu Disemba, 25, 2017 nimekuekea hapa

WAZIRI NDALICHAKO: WADAIWA WOTE WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU LAZIMA WALIPE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amewataka wote wanaodaiwa mikopo ya Elimu ya Juu kuirejesha mikopo hiyo mara moja pasipo kungoja kuchukuliwa hatua za kisheria. Katika mahojiano aliyoyafanya na Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Waziri…