Latest Posts
Hivi Buffon na Kaseja nani mzee?
Soka la Tanzania kwa sehemu kubwa linaharibiwa na midomo ya mashabiki na ulegevu wa wachezaji. Mashabiki wanaweza kumsakama mchezaji kwa kumzomea au kumzeesha na kumtangazia kuwa “amechuja” mpaka anapotea kwenye ramani ya soka. Mashabiki na wadau wengine wa soka huwa…
Mbowe: Hawachomoki
Mwezi mmoja wa kampeni, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetamba kuwa utashinda Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 25, mwaka huu. Ukawa wanaowakilishwa na mgombea urais kutoka Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, wanasema Chama Cha Mapinduzi (CCM)…
Waathirika Operesheni Tokomeza waibuka
Kiongozi wa Kamati ya Wafugaji kutoka Kijiji cha Lumbe, Kata ya Ukumbisiganga, Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, amepiga kambi jijini Dar es Salaam akililia fidia ya ng’ombe 2,537 waliopotea kwenye ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ iliyofanyika Oktoba 2013. Wakati wenzake wakirudi nyumbani,…
Bodi ya Kahawa kwafuka Moshi
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), Adolf Kumburu, anachunguzwa na vyombo mbalimbali vya uchunguzi kuhusiana na madai ya matumizi mabaya ya ofisi ya umma. Kiini cha uchunguzi huo ni zabuni ya kuhuisha ya mashine ya mnada (upgrading) ambayo…
Dk. Magufuli hashikiki
Hotuba za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, zenye mwelekeo wa kuileta Tanzania mpya, zimeonekana kuwakuna wengi. Dk. Magufuli, hotuba zake zimekuwa zikiwagusa wananchi kutokana na kugusa kero zinazowakabili moja kwa moja. Kwa wale wanaotaka mabadiliko,…
Uzoefu nilioupata Mlima Meru
Tupumzike siasa kwa leo. Nazungumzia utalii. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni nilipata fursa ya kusindikiza mgeni kutoka Scotland aliyetembelea Tanzania na kuamua kukwea Mlima Meru mkoani Arusha. Kilele cha Mlima Meru kina urefu wa mita 4,566 juu ya usawa…