Latest Posts
Heri ya mchawi kuliko mwongo
Juma lililopita katika safu hii, nilizungumzia maneno mawili haki na batili. Haki inavyoelekeza jamii ya watu katika kweli, na batili inavyopotosha jamii hiyo katika dhuluma. Mgongano huo kifalsafa ubajenga hali ya ‘figisufigisu’ ndani ya jamii ya Watanzania. Leo naelekeza fikira…
FIFA kufanya mapinduzi ya soka
Rais mpya wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amekuja na mapendekezo mapya ya kutaka kufanya mabadiliko katika mchezo wa soka. Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2026 na kufikia 48, Rais huyo amekuja na mapendekezo mapya…
Kigogo wa CCM anaswa uraia
Kigogo CCM anaswa uraia *Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3 NA WAANDISHI WETU, DODOMA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi…
Polisi, mbunge washiriki ‘wizi’
Mchezo wa wanasiasa kutumia kampuni za mfukoni kunyofoa rasilimali za umma bado unaendelea, baada ya JAMHURI kubaini kuwa mmoja wa wabunge wamejipatia zaidi ya Sh bilioni 40 kwa njia ya udanganyifu. Kibaya zaidi na bila woga, waliokabidhiwa dhamana ya kulinda…
Watendaji Kilwa wachunguzwa
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ameiagiza Wilaya ya Kilwa kuunda timu itakayofanya uchunguzi ili kubaini watendaji waliosababisha kukwama kwa ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kisongo, pamoja na ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kata ya Lihimalyao. …
Lukuvi, Kakoko kumaliza mgogoro ardhi Mtwara
Wiki moja baada ya gazeti hili kuchapisha makala kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Mamlaka ya Bandari ya Mtwara na wananchi wa Kitongoji cha Ng’wale, Mtwara Vijijini, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Deusdedith Kakoko, na Waziri…