Latest Posts
Uchaguzi umeisha, sasa tufanye kazi
Katika baada ya kipindi hiki cha miezi miwili hakika tumeshuhudia mtifuano wa wanasiasa waliochuana kutangaza sera na ahadi ili kupata nafasi ya kuongoza nchi. Sera zote zililenga kumkomboa Mtanzania dhidi ya maadui watatu wa tangu Uhuru ambao ni ujinga, maradhi…
Haki za binadamu bila haki za wazee
Kwa mara ya kwanza nimeshiriki sherehe za maadhimisho ya siku ya Haki za Binadamu Afrika. Ilikuwa Oktoba 21, 2015. Kwa kweli ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia sherehe hizo na nashukuru kualikwa nami nikapata kushiriki katika kilele cha sherehe ile. …
Kikwete na uteuzi dakika za mwisho
Rais Jakaya Kikwete, wiki ijayo atakuwa ameingia kwenye orodha ya marais wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kiongozi aliyechaguliwa mara mbili, na kufanikiwa kumaliza kipindi chake cha miaka 10 salama, si busara sana kuendelea kumjadili au kumkosoa. Watu…
Yah: Apa utatekeleza ahadi zangu ndani ya miaka mitano
Jamani, maisha yanaendelea baada ya uchaguzi. Tanzania imekuwa nchi ya kuangaliwa na mataifa mengi duniani hasa kutokana na sifa kubwa ya kuwa kisiwa cha amani. Tanzania inatazamwa na wenye dhamira mbaya ya kutaka tuingie katika machafuko ili waweze kuchota kilicho…
Tumefunga mkataba wa mabadiliko
Juzi Jumapili Oktoba 25, mwaka huu, Watanzania tulifunga mkataba wa mabadiliko kati yetu (wapigakura) na wagombea uongozi nchini (madiwani, wabunge na rais) kutuongoza kwa kipindi cha miaka mitano ijayo; 2015-2020. Mkataba huo muhimu unabeba dhana ya mabadiliko yenye kusudio la…
Watanzania na utii wa sheria
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alfred Tibaigana, aliwahi kusema: “Asilimia 98 ya Watanzania hawaheshimu sheria.” Alinukuliwa na mojawapo ya vyombo vya habari. Ukitafakari matamshi haya kwa haraka haraka unaweza kusema kuwa ni taarifa ambayo haishabihiani…