Latest Posts
Eneo la Shule ya Mwongozo Kinondoni kumegwa
Katika mambo mengi mazuri ambayo Serikali imeyafanya, hapana shaka ni kujenga uzio au kuta kuzunguka maeneo ya shule.
Kikwete: Kagame, Museveni, Kenyatta wamenishangaza
Asema wamevuja Mkataba, Itifaki ya Afrika Mashariki
Asisitiza Tanzania inaipenda Jumuiya, haitatoka kamwe
Aonya wasahau ardhi, ajira, kuharakisha shirikisho
Alhamishi wiki iliyopita, Rais Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kueleza mambo manne ya msingi. Amezungumzia mchakato wa Katiba mpya, Operesheni Tokomeza, ushiriki wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) na hatima ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kutokana na umuhimu wa hotuba hii, na historia inayoweza kuwa imewekwa na hotuba hii katika siku za usoni, Gazeti JAMHURI limeamua kuchapisha hotuba hii neno kwa neno kama sehemu ya kuweka kumbukumbu na kuwapa fursa Watanzania, ambao hawakupata nafasi ya kuisikiliza hotuba hii, kuisoma na wao pia kuhifadhi kumbukumbu. Endelea…
Tusisukumwe na hoja za kisiasa kujitoa EAC
Katika dunia yetu ya leo ya utandawazi, suala la nchi yoyote duniani kubaki kama kisiwa halipo kabisa. Maendeleo katika teknologia ya mawasiliano yameifanya dunia yetu igeuke kuwa kijiji kimoja.
FASIHI FASAHA
Vyama vya upinzani ni vichanga? -3
FIKRA YA HEKIMA
Bunge likipata Lugola 10 litainyoosha Serikali yetu
Ninatamani kuona siku moja Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linafanikiwa kuwa na angalau wabunge 10 aina ya Alphaxard Kangi Ndege Lugola, ambao watatosha kuinyoosha Serikali yetu.
Mambo muhimu kuanzisha biashara -2
Katika toleo lililopita mwandishi wa makala haya alieleza jinsi mfanyabiashara anayeanza kufanya biashara anavyoweza kulipa kodi yake ya mwaka sasa anatoa mfano jinsi ya utaratibu wa ulipaji wa kodi hiyo endelea
- Wizara ya Maliasili na Utalii kununua ndege nyuki 12, kufuatilia mienendo ya wanyapori
- Wachimbaji 17 wafukiwa na kifusi machimbo ya Mwakitolyo, sita wafariki
- Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba zaidi ya Bilioni 359/- kwa Bajeti ya 2025/2026
- Serikali kutatua changamoto ya kufurika wa mito
- Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
Habari mpya
- Wizara ya Maliasili na Utalii kununua ndege nyuki 12, kufuatilia mienendo ya wanyapori
- Wachimbaji 17 wafukiwa na kifusi machimbo ya Mwakitolyo, sita wafariki
- Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba zaidi ya Bilioni 359/- kwa Bajeti ya 2025/2026
- Serikali kutatua changamoto ya kufurika wa mito
- Rais Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali
- Majaliwa : Serikali imejipaga kudhibiti magugumaji ziwa Victoria
- Nyongeza ya mshahara asilimia 35.1, uthibitisho wa Rais Samia kuwajali wafanyakazi
- Wizara ya Maliasili yatangaza vipaumbele 10 vya Bajeti 2025/2026 ikiwemo kuinua italii na uhifadhi
- (no title)
- Tundu Lissu afikishwa mahakamani
- Brigedia Jenerali Mstaafu Allan Mwakamyanda afariki dunia
- Makamu wa Rais akiwasili nchini Brazil
- Joe Biden agunduliwa na saratani ya tezi dume
- Trump kuzungumza na Putin kuhusu kusitisha mapigano Ukraine
- Rais Samia ampongeza Prof. Janabi