JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

KWANDIKWA AWATAKA ‘TAA NA TPDC’ KUHAMISHA BOMBA LA GESI UWANJA WA NDEGE MTWARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ( TAA), mkoa wa Mtwara, wakati alipokuwa akikagua uwanja wa huo. Pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda. Kaimu Meneja wa…

KHERI JAMES: RAIS MAGUFULI AMEAMUA KUSAFISHA NYUMBA HAKUNA MENDE ATAKAYEBAKI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa Ndg Kheri Denice James akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mndarara kilichopo Kata ya Ngaranaibor wakati wa ziara ya kikazi Wilayani…

JAMAA ATUMIA SURURU KUJENGA BARABARA YA KILOMITA 8

Jamaa mmoja katika jimbo lililo mashariki mwa India, amejenga barabara ya umbali wa kilomita 8 akitumia sururu ili kuwawezesha watoto wake kupitia wakitoka shuleni. Jalandhar Nayak, 45, anaishi umbali wa kilomita 10 kutoka shule ambapo watoto wake watatu wa kiume…

UGIRIKI YAKAMATA MELI ILIYOKUWA NA BENDERA YA TANZANIA

Mamlaka nchini Ugiriki imeeleza kuwa, imekamata meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania iliyokuwa safarini kuelekea ncuni libwa ikiwa imebeba vifaa vinavyotumika kutengenezea vilipuzi. Meli hiyo iligundulika wakati ikiwa jirani na Kisiwa cha Crete siku ya Jumamosi. Mamlaka hiyo imekuta makontena…

CHADEMA YAZIDI KUPUKUTIKA, DIWANI WAKE AJIUNGA CCM

Diwani wa Kata ya Namichiga kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wilayani Ruangwa mkoani Lindi Bwana, Mikidadi Ibadi Mbute, amejiuzulu nafasi yake na kutangaza kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi ya Rais Dkt. John Pombe…

Wizara ya Maliasili na Utalii Yatangaza Viwango Vipya vya Ada kwa Mawakala wa Kusafirisha Watalii

Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza rasmi viwango vipya vya malipo ya ada kwa Mawakala wa kusafirisha watalii nchini baada ya kukamilika kwa marekebisho ya kanuni ya ada na tozo za biashara ya utalii yaliyofanyika mwezi Desemba mwaka jana, 2017….