Latest Posts
Kamati ya Pinda imalize mgogoro wa uchinjaji
Mwanzoni mwa mwaka huu, uliibuka uhasama mkubwa uliohusisha pande mbili za dini ya Kiislamu na Kikristo mkoani hapa. Uhasama huu ulianza kama ‘mchicha’ kwa viongozi wa pande hizi mbili kuzuliana visa kutokana na nani au dini gani inastahili kupewa heshima ya kuchinja wanyama kwa ajili ya kitoweo.
Udini sasa nongwa (3)
Zanzibari kuna waislamu wengi na wakristo wachache sana, lakini katika uteuzi mbalimbali imewahi au imepata kusikika jina la mkristo likiteuliwa? Wakristo wa kule si wanahaki zile zile za ubinadamu na za uraia? Mfumo upi hapo kandamizi -ule Mfumo Kristo unaoogopwa upande wa Bara kama kandamizi kwa dini ya kiislamu au Mfumo Islam unaokandamiza kila dini isipokuwa uislamu kule Zanzibar?
Tuoneshe uadilifu Sikukuu ya Pasaka
Machi 31 na Aprili Mosi, mwaka huu ni Sikukuu ya Pasaka, ambapo Wakristo duniani wanakumbuka kifo na kufufuka kwa Yesu Kristo.
Cameron na vita ngumu ya pombe
Siasa ni mchezo mchafu, kweli wana JAMHURI sasa naamini. Utata wa siasa hauna cha nchi kubwa wala ndogo, maana nchi kubwa kama Marekani au Uingereza zinaweza kuamua siasa, wakakaribia kugawanyika nusu kwa nusu. Uingereza walipopiga kura mara ya mwisho, walishindwa kuchagua chama kimoja kikae madarakani, kwa sababu wabunge waligawanyika.
Mabadiliko ya kiuchumi yanukia Afrika
Mabadiliko makubwa ya maendeleo ya kiuchumi yanatarajiwa kuonekana Afrika, amesema Katibu Mtendaji wa Baraza la Uchumi Afrika, Dk. Carlos Lopes.
Serikali, wananchi wahimizwa kuwajibika
Shirika la Forum Syd Tanzania limeihimiza Serikali kuhakikisha inatimiza wajibu wake kwa kuwahudumia wananchi ipasavyo, na ameitaka na jamii yenyewe kuhakikisha inawajibika ili kuweza kukabili changamoto za umaskini wa kipato.