Latest Posts
Pinda hafai kuwa Rais
Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wenzangu hamjambo hasa wale Watanganyika walalahoi kama mimi, sizungumzii wale wanaoishi kama wapo paradiso.
Nimesoma magazeti kadhaa, karibu wiki nzima yanazungumzia habari ya ‘mtoto wa mkulima’ Mizengo Pinda eti anataka urais na wengine kuanza kumpigia debe kwamba anafaa eti kwa vile ni muadilifu, pia hana tuhuma za ufisadi.
Mheshimiwa Sitta acha kututania!
TMF yatoa ruzuku kwa vyombo vya habari 16
Mfuko wa vyombo vya habari nchini (TMF), kwa mara nyingine, umetoa ruzuku ya Sh. bilion 1.7 kwa vyombo vya habari 16.
Posho EAC kufuru
*Kila kikao mbunge analipwa Sh laki 9
Posho ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ni Sh. 940,000 kwa siku. Malipo hayo ni kwa kila mbunge hata kama hakudhuria vikao vya Bunge.
Kutokana na utoro wa wabunge ambao umefikia kiwango cha kukwamisha vikao, juhudi za chini kwa chini zimeanza kufanywa na baadhi ya wabunge ili kubadili kanuni.
Mmoja wa wabunge hao ameiambia JAMHURI kuwa juhudi hizo ni pamoja na kuhakikisha kuwa mbunge ambaye hahudhurii kikao, anakosa posho.
ISIL yazidi kuitesa Marekani, Waarabu nao waingilia kati
WAPIGANAJI wa kundi la Taifa la Kiislamu la Iraq na Levant (ISIL), wanazidi kuwatesa Wamarekani, kiasi kwamba hata Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA), limekiri kwamba mapambano dhidi ya waislamu hao ni magumu.
Paroko RC aishiwa uvumilivu, awacharaza viboko Wasabato
PAROKO wa Parokia ya Urumi, iliyoko Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Padri Peter Twamba, amewajia juu waamini wa Kanisa la Waadivetisti Wasabato, waliotuhumiwa kukashifu imani ya Kanisa Katoliki (RC).
Tukio hilo lilitokea kanisani hapo, Jumapili ya 23 ya mwaka ‘A’ (kijani) ya Septemba 7, mwaka huu saa 3 asubuhi mara baada ya misa ya asubuhi kanisani hapo.
- DCEA: Wanaotangaza au kusifia matumizi ya Dawa za Kulevya kukiona
- PPRA yawahamasisha wasanii kujisajili katika mfumo wa NeST
- Rais Samia kuhudhuria sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru Umoja wa Visiwa vya Comoro
- Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita
- Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu
Habari mpya
- DCEA: Wanaotangaza au kusifia matumizi ya Dawa za Kulevya kukiona
- PPRA yawahamasisha wasanii kujisajili katika mfumo wa NeST
- Rais Samia kuhudhuria sherehe ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru Umoja wa Visiwa vya Comoro
- Hamas yakaribisha mazungumzo ya kusitisha vita
- Rais Ruto kujenga kanisa kubwa Ikulu
- Trump :Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda
- Rais Samia asifu mchango wa taasisi za dini katika kukuza maadili
- JKCI yatoa elimu ya lishe kwa kutumia pyramid ya vyakula halisi
- Rais Dkt. Samia akiwaaga kwa kuwapungia mkono waumini wa Kanisa la Arise and Shine
- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Comoro kesho
- Rais Dkt. Samia akihutubia mara baada ya kufungua Kanisa la Arise and Shine, Kawe Jijini Dar
- Viongozi mbalimbali wa dini na serikali wakati ufunguzi wa Kanisa Arise and Shine Dar
- Dk Biteko : Tanzania ina usalama wa chakula, awapongeza wakulima
- Ewura CCC: Wananchi wadai fidia wanapocheleweshewa kuunganishiwa maji kwa siku saba za kazi
- Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba