JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ukraine yatuma droni 100 kuelekea Urusi

Mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi inaripotiwa kuzidunguwa zaidi ya droni 100 za Ukraine usiku wa kuamkia leo kwenye maeneo mbalimbali ya nchi hiyo, zikiwemo zile zilizoelekezwa kwenye mji mkuu, Moscow. Kwa mujibu wa maafisa wa Urusi, mashambulizi hayo…

Temeke yavunja rekodi ukusanyaji mapato zaidi ya bilioni 53/-

Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MANISPAA ya Temeke imeshika nafasi ya kwanza kwa kukusanya mapato mengi zaidi ya shilingi bilioni 53 kabla Juni 31, mwaka huu wa fedha 2025/2026. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani Manispaa ya…

Wazalishaji wa bidhaa za mifuko ya plastiki kudhibitiwa

Na Jovina Massano, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kuwachukulia hatua watu na kampuni zinazoendelea kuzalisha bidhaa za mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku. Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhandisi Hamad Masauni ametoa onyo kwa wanaoingiza na kuzalisha bidhaa za…

RC Kigoma azindua zoezi la ugawaji vyandarua vyenye dawa bure

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika ngazi ya kata, mitaa, vijiji na kaya, mkoani humo, ambapo vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vitagawiwa bure kwa…

Wafanyakazi JKCI watakiwa kufanya kazi kwa kufuata taratibu za utumishi wa umma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kufanya kazi zao kwa kufuata taratibu za utumishi wa Umma hii ikiwa ni pamoja na kuwa na weledi na nidhamu ya kazi. Rai hiyo…

Serikali yashauriwa kufanya tathmini ya hali ya kifedha kwa NGOs

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetakiwa kufanya tathmini ya hali ya kifedha ya Asasi za Kiraia (NGOs) kufuatia kufutwa kwa misaada kutoka serikali ya Marekani na baadhi ya nchi nyingine zilizoanza mchakato wa mabadiliko ya utoaji wa misaada hiyo….