Latest Posts
Muhongo akagua ujenzi bomba la gesi
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, ameeleza kuridhishwa kwake na kasi ya utandazaji na uunganishwaji wa mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam.
Mil 121/- ‘zatafunwa’ Hospitali ya Geita
Siri ya wizi wa Sh zaidi ya milioni 121 za Hospitali ya Wilaya ya Geita imefichuliwa. Imewekwa wazi na aliyekuwa Mhasibu wa Idara ya Afya hospitalini hapo, Frank Maganga, akimtaja aliyekuwa Mganga Mkuu wa Wilaya, Dk. Omary Dihenga, kutumia…
Vidonda vya tumbo na hatari zake (16)
Wiki iliyopita, Dk. Khamis Zephania alieleza vyanzo na madhara ya magonjwa ya saratani ya tumbo na vidonda vya tumbo kwa mama wajawazito. Sasa mfuatilie zaidi katika sehemu hii ya 16…
Jinsi vidonda vya tumbo vinavyochunguzwa
Salaam za Kagasheki kwa majangili
*Angependa wakikutwa maporini ‘wamalizwe’ huko huko
*Maelfu ya wananchi wakubali adhabu ya kifo kwa wahusika
*Muswada kuipa makali sheria kuwasilishwa Bunge lijalo
Muda ni saa 2 na dakika kadhaa asubuhi. Mbele ya Makao Makuu ya Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuna mamia ya watu wa rika, rangi na jinsi zote. Wana mabango yenye ujumbe maalumu.
Dola ikomeshe vibaka kwenye daladala
Tatizo la vibaka limeendelea kuota mizizi katika daladala za abiria, hasa jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watu wanaotumia usafiri huo wa umma wamekuwa wakiibiwa fedha na simu za kiganjani kila kukicha!
Mungu awe nayi wana JAMHURI
- Kamishna Kuji ahimiza watumishi kujiendeleza kielimu ili kuboresha ufanisi katika utendaji
- Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
- Mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta umeleta mapinduzi ya kiuchumi kwa wananchi Tanga
- Tanzania, IFRC wajadili kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kibinadamu Afrika Mashariki
- Rais Samia aendelea kuboresha miundombinu ya Jeshi la Polisi nchini
Habari mpya
- Kamishna Kuji ahimiza watumishi kujiendeleza kielimu ili kuboresha ufanisi katika utendaji
- Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
- Mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta umeleta mapinduzi ya kiuchumi kwa wananchi Tanga
- Tanzania, IFRC wajadili kuimarisha ushirikiano katika masuala ya kibinadamu Afrika Mashariki
- Rais Samia aendelea kuboresha miundombinu ya Jeshi la Polisi nchini
- Waziri wa Cuba ajiuzulu baada ya kusema nchi haina ombaomba
- China yaiunga mkono Iran dhidi ya uonevu
- EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi
- Dk Mwinyi amkabidhi tuzo ya heshima ya uchaguzi Kamishna THBUB
- Wahamiaji haramu 126 kutoka Burundi wakamatwa Geita
- Dk Yonazi aipongeza Serikali mageuzi sekta ya kilimo
- Hati miliki za ardhi 1, 176 zatolewa maonesho sabasaba
- Serikali Mkoa wa Mwanza yadhibiti uchimbaji holela wa madini Kasandi na Ishokela hela
- Kigoma yamulikwa miradi lukuki ya Sequip
- Wawekezaji biashara ya Kaboni waanza kumiminika nchini