Latest Posts
Nape Nnauye : Rais Samia ni kiongozi jasiri aliyelivusha taifa kwenye Covid – 19
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Moses Nnauye, amesema Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni kiongozi jasiri aliyelivusha taifa katika…
Awashauri watumishi kufanyakazi kwa ufanisi na kuwa wabunifu
Na OWM KVAU Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Mary Maganga amewataka Watumishi wa Ofisi hiyo kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi ili kuongeza tija katika utoaji huduma kwa wananchi. Bi. Mary amebainisha hayo…
Waziri Kombo awasili Zimbabwe kushiriki mkutano wa 22 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje Afrika na NORDIC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amewasili jijini Victoria Falls, Zimbabwe, kushiriki Mkutano wa 22 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Nordic, unaofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 3…
Samia aacha kicheko Kilimanjaro, asisitiza amani
Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media, Moshi Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kama atapewa ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anajenga Kampasi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Akihutubia mamia maelfu…
CCM yabadilisha maisha Namonge
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imebadilisha maisha ya watu wa Kata ya Namonge kwa kuleta miradi…





