JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania na Gatsby zajadili kuimarisha mabadiliko ya kiuchumi

Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Dodoma Serikali na GATSBY Africa wamejadiliana vipaumbele vya Tanzania katika mabadiliko ya kiuchumi hasa katika kuimarisha ushindani wa uzalishaji wa viwanda ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2050. Hayo yameelezwa jijini Dodoma…

Kapinga atoa onyo kwa wanunuzi wanaochelewesha malipo ya kahawa Mbinga

Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amemtaka Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, kuhakikisha anasimamia kwa karibu malipo ya wakulima wa kahawa ili kuwalinda dhidi ya ucheleweshaji wa fedha zao unaofanywa na baadhi ya kampuni…

Ndejembi ahimiza ushirikiano wa wakuu wa mikoa na wilaya katika utekelezaji miradi ya nishati

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, leo tarehe 22 Januari, 2026, amezungumza katika Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 unaofanyika katika Ukumbi wa Mabeyo, jijini Dodoma.‎ ‎Mkutano huo umeandaliwa na Ofisi ya Waziri…

Mavunde kuwachukulia hatua maafisa madini wanaosababisha miogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa ambao ofisi zao zitabainika kuhusika au kusababisha migogoro katika shughuli za uchimbaji wa madini, akisisitiza ulazima wa kuzingatia kikamilifu…