JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Juma Duni Haji :ACT Wazalendo yashikilia nguvu ya ushindi Zanzibar

Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji, amesema hakuna nguvu itakayoweza kuizuia ACT kutoshinda Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, hata kama uchaguzi huo ungefanyika kwa mwezi mzima na sio kwa siku mbili pekee….

Dira ya Zanzibar mpya itaongozwa na wananchi -Othman Masoud

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katika mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, jina la Othman Masoud Othman, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, limezidi kushika kasi. Wananchi wengi wanamwona kama kiongozi mwenye maono ya kuibadilisha Zanzibar kuwa nchi ya wananchi…

Samia: Nilishuhudia zanahati mbovu inatoa huduma kwa wajawazito

Na Mwandishi Wetu,Jamhuri Media-Same Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesimulia namna alivyokwenda Kijiji cha Hedaru wilayani Same ambacho alikuta zahanati mbovu inatoa huduma kwa waja wazito hali iliyomsikitisha. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akihutubia…

Samia atenga bil 1.9/- kununua mitambo kuondoa magugu Mwanga

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia,Mwanga Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameseama serikali imetenga Sh bilioni 1.9 kwa ajili ya ununuzi wa mitambo ya kuondoa magugu maji Ziwa Jipe lililopo wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Rais Samia…

Dodoma yaingia kwenye ramani ya miji salama kupitia CCTV

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amekagua utekelezaji wa Mradi wa kusimika Kamera za usalama (CCTV) katika jiji la Dodoma, mradi unaogharimu shilingi milioni 473 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Mradi…

Kura zote Butinzya tumpigie Dk Samia Dk Biteko

Na Mwandishi Wetu Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amewahimiza wananchi wa Kata ya Butinzya, Wilayani Bukombe kumpigia kura mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM)…