Latest Posts
RC Makonda aridhishwa na maendeleo ya mradi wa madaraja ya King’ori barabara ya Arusha – Moshi
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amefanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa madaraja mawili ya King’ori yanayojengwa katika barabara kuu ya Arusha – Moshi na kuridhishwa na kasi na ubora wa…
Pwani wajipanga kushinda mashindano ya UMITASHUMTA 2025
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umejipanga kushinda katika mashindano ya kitaifa ya UMISSETA na UMITASHUMTA, yanayotarajiwa kufanyika mkoani Iringa kuanzia Juni 8 hadi Julai 4, 2025. Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa vyakula kwa ajili ya wanamichezo…
Kim Jong Un akerwa na ajali kwenye uzinduzi wa meli ya kivita
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameonyesha kughadhabishwa na ajali mbaya iliyotokea Jumatano wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita nchini humo akisema ni uzembe wa hali ya juu. Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ameitaja…
Trump amshambulia Ramaphosa kwa mauaji ya wazungu
RAIS Donald Trump amemshambulia Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa jana Jumatano baada ya kumchezea video iliyoonyesha madai ya mauaji ya kimbari yanayofanywa dhidi ya wazungu. Rais Trump alisema wakulima hao sasa wanalazimika kukimbilia Marekani ili kunusuru maisha yao. Trump…
Kenya yajitenga na Karua yatetea uamuzi wa Tanzania
Serikali ya Kenya imetetea uamuzi wa Tanzania kuwakataa baadhi ya viongozi wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya kuingia nchini humo, hatua ambayo imezua mjadala mkali katika kanda ya Afrika Mashariki. Kupitia kwa Msemaji wake, Isaac Mwaura, serikali ya Kenya imesema…
Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni. Pamoja na umuhimu huo bado iko kwenye tishio dhidi ya mazingira na viumbe wakiwemo…