Latest Posts
Muheza wamwitikia kwa kishindo Dk Samia
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muheza Ndugu Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ mara…
REA yauza majiko 1,500 kwa bei ya ruzuku kwenye maonesho ya Madini Geita
📌REA yapongezwa kwa kuuza majiko kwa bei ya ruzuku na kutoa elimu ya miradi ya wakala Ma Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita yamehitimishwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri…
Dk Samia aomba kura kwa wana Pangani
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Pangani katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe…
Samia aingia Pangani kusaka kura
Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari ameshawasili Pangani kwenye uwanja wa Gombelo mahali ambapo mkutano wa kampeni utafanyika na atawahutubia wana CCM na wananchi waliojitokeza kwa wingi ili kumsikiliza. Rais Dkt. Samia pia…
Ukraine haionyeshi nia ya kurejea kwenye mazungumzo na Urusi
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Kyiv haijawahi kuonyesha nia ya kurejea kwenye mazungumzo kati ya Urusi na wajumbe wa taifa hilo. Peskov alisema hayo katika mahojiano na Shirika la habari la serikali la Urusi RIA yaliyochapishwa siku…





