JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ripoti iliyomng’oa Dk. Slaa yavuja

Ripoti ya utafiti iliyokabidhiwa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inayomtaja Dk. Willibrod Slaa, kama mwanasiasa mwenye mvuto miongoni mwa wapinzani anayestahili kuwania urais kupitia Ukawa, hatimaye imepatikana; JAMHURI linathibitisha. Kutupwa kwa ripoti hiyo kunatajwa kuwa ndiyo chachu iliyomfanya…

Sumbawanga yanuka ufisadi

Vigogo wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wamedaiwa kutengeneza vitabu bandia vya kukusanyia mapato ya ushuru na leseni za  uvuvi kwa wafanyabiashara wa samaki katika Ziwa Rukwa, JAMHURI inaripoti.  Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kwamba vitabu hivyo vimetengenezwa na baadhi…

Lowassa si sawa na Mrema

Hiki ni kipindi cha Uchaguzi Mkuu. Oktoba 25, wananchi watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura. Wananchi watakuwa na jukumu la kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Makamu wake (mgombea mwenza). Kwa Wazanzibari, mbali na Rais na Makamu…

Lowassa: Anayejua Richmond Kikwete

.Wasaidizi wake wasema “Mzee sasa ana amani” NA WAANDISHI WETU Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara ya kwanza amemtaja Rais Jakaya Kikwete ndiye anayefahamu kwa kina mkataba wa Kampuni ya Richmond uliosababisha nchi kupata hasara ya mamilioni. Lowassa anasema,…

Wilaya, majimbo si suluhu ya matatizo

Namshuruku Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia afya njema na amani. Ni vyema tukamshukuru Mungu kila wakati kwa sababu tunaendelea kuyashuhudia mapenzi yake mema kwetu. Pili, niombe radhi kwa sababu lugha ya Kiswahili ni ngumu, hivyo katika kuandika inawezekana nikakosea hapa na…

Haki ya Mtanzania inapogeuzwa anasa

Katika kipindi cha miaka kadhaa sasa, Watanzania wengi wanaishi kwa manung’uniko yanayotokana na kukosa haki zao za msingi huku waliopatiwa jukumu hilo wakiwabeza. Tumeshuhudia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) iliporatibu upatikanaji wa vitambulisho hivyo, huku wananchi wengi wakishindwa kuvipata….