Latest Posts
Balotelli aichanganya Italia
…Ageuka pia kuwa shujaa barani Afrika
Mapema mwaka huu, Mario Balotelli aliachwa katika timu ya taifa ya Italia (Azzurri) iliyocheza na Marekani Jumamosi, Februari 29, lakini Alhamisi iliyopita ghafla aliichanganya Italia alipoipeleka kucheza mechi ya fainali za Euro 2012 hapo juzi, Jumapili, dhidi ya Hispania mjini hapa.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
- Oktoba kura zote kwa Rais Samia – Ummy Mwalimu
- Bodi REB yaihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza umeme ya Matembwe Njombe
- Meatu mtaendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo nishati – Dk Samia
- Waziri Silaa aielekeza TCRA kupiga kambi kiwanda cha kutengeneza simu Raddy Electronics Pwani
- Tusirudie kuwa na Bunge la aina hii
Habari mpya
- Oktoba kura zote kwa Rais Samia – Ummy Mwalimu
- Bodi REB yaihakikishia ushirikiano kampuni ya kuzalisha na kusambaza umeme ya Matembwe Njombe
- Meatu mtaendelea kupata miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo nishati – Dk Samia
- Waziri Silaa aielekeza TCRA kupiga kambi kiwanda cha kutengeneza simu Raddy Electronics Pwani
- Tusirudie kuwa na Bunge la aina hii
- Rais Samia ametekeleza utoaji wa haki za mtoto – Waziri Dk Gwajima
- PURA yachochea maendeleo kupitia gesi asilia, yaongeza juhudi ya usambazaji
- Rais Samia atembelea majeruhi wa ajali Meatu
- Dkt. Samia azindua Kiwanda cha kuchakata Pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu
- Kilimanjaro kuendelea kupinga ukatili dhidi ya watoto
- Gambo ataka Wenyeviti Serikali za Mitaa walipwe 300,000/- kwa mwezi
- Mwenge wazindua mita za maji za bil 1.8/- Tanga
- Kampuni kubwa zasaini mkataba kuuzia dhahabu BoT
- THRDC yampongeza Jaji mkuu mpya George Masaju
- Umoja wa Mataifa kupunguza misaada ya kiutu duniani kote