Latest Posts
Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden
Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu…
Serikali kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya
OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali itaendelea kutenga na kupeleka fedha kwenye halmashauri zote nchini kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya ili viweze kutoa huduma stahiki kwa wananchi….
Bwawa la Nyumba ya Mungu lafurika, wakazi waomba msaada wa boti
Na Mwandishi Wetu, Simanjiro Baadhi ya wakazi wa Kata ya Ngorika wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wamekumbwa na mafuriko yaliyosababishwa na kufurika kwa bwawa la Nyumba ya Mungu. Diwani wa kata ya Ngorika Albert Msole amesema baadhi ya wakazi wa eneo…
Trump :Urusi, Ukraine kuanza mazungumzo ya kusitisha mapigano
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Urusi na Ukraine zitaanza mazungumzo “mara moja” kuelekea kusitisha mapigano na kumaliza vita, baada ya mazungumzo ya simu ya saa mbili na mwenzake wa Urusi Vladimir Putin. Trump, ambaye alielezea mazungumzo hayo kuwa yameenda…
Majaliwa :Kamilisheni uchunguzi wizi vifaa vya hospitali
Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Sengerema WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa wa Mwanza uhakikishe unakamilisha uchunguzi wa watumishi wa Hospitali ya wilaya ya Sengerema wanaodaiwa kuhusika na wizi wa vifaa hospitalini hapo ili watakaothibitika wachukuliwe hatua za kisheria….
Rais Samia ahimiza ushiriki kufanikisha utekelezaji Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amehimiza ushiriki wa taasisi za umma, sekta binafsi, pamoja na watanzania waishio nje ya nchi (diaspora) katika kufanikisha utekelezaji wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Toleo…