Latest Posts
Putin anakuja Tanzania
LICHA ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kusuasua kuthibitisha kuhusu ujio wa Rais wa Russia, Vladimir Putin taarifa za uhakika zinasema kwamba mwamba huyo wa kimataifa atatua nchini Februari, mwakani.
Nyalandu aichongea Ikulu kwa Marekani
*Aona Pinda hana msaada, awatafuta TAHOA
*Alalama wenzake serikalini wanamhujumu
Na Mwandishi Maalumu
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Hivi kweli Kaburu ni kirusi Simba, soka la Tanzania?
KWENYE wallet (pochi ya kutunzia fedha) ya kada wa klabu ya Yanga, Sudi ‘Tall’ Hussein pamoja na kuchukua mambo mengine ndani yake kuna kipande cha gazeti la michezo la MWANAspoti.
Werrason alivyokonga mashabiki wa muziki
Werrason Dima Makanda ni mmoja wa wanamuziki wa Kongo wenye washabiki wengi sana hapa nchini na Afrika kama si duniani kiujumla.
Mikopo ni sehemu ya biashara
Mikopo ni sehemu ya biashara. Huwezi kuanzisha biashara pasipo kukopa na huwezi kukua sana kibiashara pasipo mikopo.
- Naibu Waziri Maghembe ashiriki Maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Zambia
- Waziri Simbachawane ateta na askofu Dk Bagonza
- Dk Mwingulu aweka jiwe la msinhgi ujenzi wa Kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam Mkoa Lindi
- Serikali yasisitiza utaalamu na ubunifu katika ununuzi na ugavi
- Makamu wa Rais awasili Uganda – kushiriki mkutano wa Jumuiya ya Maziwa Makuu
Habari mpya
- Naibu Waziri Maghembe ashiriki Maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Zambia
- Waziri Simbachawane ateta na askofu Dk Bagonza
- Dk Mwingulu aweka jiwe la msinhgi ujenzi wa Kampasi ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam Mkoa Lindi
- Serikali yasisitiza utaalamu na ubunifu katika ununuzi na ugavi
- Makamu wa Rais awasili Uganda – kushiriki mkutano wa Jumuiya ya Maziwa Makuu
- Waziri Mkuu akagua ujenzi wa shule mpya ya msingi Likong’o
- Dk Akwilapo : Ingieni katika dunia ya kazi kwa moyo wa uadilifu
- DC Mpogolo amewataka madiwani Ilala kushirikiana na wenyeviti wa mitaa
- Kwa heri John Sabi Nzuryo, tutaonana baadae
- Livembe: Mchakato wa uchaguzi ulikuwa wa haki na halali
- Simbachawane- Vitambulisho vya NIDA kuunganishwa na huduma nyingine
- Pwani yaweka mkakati kuacha tabasamu kwa wananchi ndani ya siku 100 za rais
- Tanzania na Uturuki kuimarisha uwezeshaji wa vijana na wanawake
- Mabalozi wa Utalii waahidi kuulinda Ushoroba wa Kwakuchinja
- Wizara ya Viwanda na biashara yapania kuanzisha kongani