JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nidhamu itawapa wabunge heshima

WIKI hii tumeshuhudia michango mbalimbali ikitoka kwa wabunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Yametokea malumbano kati ya wabunge kadhaa na kiti cha Spika. Binafsi nilishuhudia tukio hili, hadi Mwenyekiti wa Bunge aliyekuwa amekalia kati cha Spika akaamuru mbunge mmoja kuondolewa ukumbini. Mabaunsa sita, walikwishajongea kwa nia ya kumtoa ukumbini, lakini yeye akajitoa mwenyewe.

 

Bila reli, barabara zitakufa

Wizara ya Ujenzi, kama zilivyo wizara nyingine, ni miongoni mwa wizara chache ambazo ni mihimili ya maendeleo ya taifa letu.

Tanzania, tofauti na makoloni mengine, iliachwa na watawala dhalimu ikiwa haina barabara, si za lami tu, bali hata za changarawe.

 

Magufuli moto mkali

*Atangaza kimbunga kwa wavamizi wa barabara
*Afumua mtandao wa ufisadi, gharama ujenzi zashuka
*Flyovers kuanza kujengwa kwa kasi jijini D’ Salaam

Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza kiama dhidi ya wavamizi wa hifadhi za barabara nchini, huku akifanikisha kushusha gharama za ujenzi kutoka Sh bilioni 1.8 kwa kilomita moja hadi Sh milioni 700.

Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja

Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.

 

HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI

  UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…

Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi

Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.