JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk Migiro asema mafanikio ya Samia,Dk Mwinyi yamengwa na 4R

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media,Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Asha-Rose Migiro, amesema mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, yamejengwa juu ya misingi imara ya falsafa ya R4, ambayo…

Samia atema cheche Zbar

Na Kulwa Karedia,JamhuriMedia-Zanzibar Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Samia Suluhu Hassan amesema muungano wa Tanngayika na Zanzibar umeimarika zaidi tofauti na miaka yote. Amesema Muungano huo sasa na udugu wa damu, huku akiwanyo wale wote ambao wamejipanga…

Mgombea ubunge ACT Kawe awafariji waathirika wa moto soko la Kawe

Na Mwandishi Wetu Mgombea ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Glory Tausi Shayo, ametembelea Soko la Kawe kufuatia tukio la moto mkubwa ulioteketeza bidhaa na mali za wafanyabiashara wengi wa soko hilo. Katika ziara hiyo iliyofanyika…

Jamii haina budi kuachana na mila na desturi zenye madhara

Na WMJJWM-Dodoma Serikali inaendelea na juhudi za kuchochea maendeleo katika jamii  kupitia afua mbalimbali ikiwemo  utoaji wa elimu kuhusu masuala ya mila na desturi zinazofaa na zile zisizofaa kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara…

Kongomano la uchumi Jumuishi kuelekea Dira 2050 kufanyika Septemba 18 Mbeya

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya KIGODA Cha Uprofesa cha Mwalimu J.K. Nyerere katika Taaluma za Umajumui wa Afrika (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP Centre), limeandaa…