Latest Posts
SIMBA VS AZAM LEO MTOTO ATUMWI DUKANI
ITAKUWA ni vita kali ndani ya Uwanja wa Taifa leo Jumatano saa 10.00 jioni, pale Vinara wa Ligi Kuu barra, Simba SC, itakapokuwa ikipambana na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya…
Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumatano Februari 7, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Februari,7, 2018 nimekuekea hapa
MKUTANO WA KUMNG’OA ZUMA MADARAKANI WAAHIRISHWA
Chama tawala nchini Afrika Kusini ANC kimeahirisha mkutano wa viongozi wa juu wa chama hicho ulio tarajiwa kujadili hatima ya rais Zuma. Hata hivyo badala yake taarifa iliyotolewa na chama hicho imeeleza kuwa wamekuwa na mazungumzo yenye ufanisi mkubwa na…
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AFUNGUA JENGO LA MAHAKAMA YA WILAYA MWANAKWEREKWE UNGUJA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama ya Wilaya Mwanakwerekwe Unguja,kushoto Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria na Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Haroun…
RAIS MAGUFULI AFUNGUA KITUO CHA MAFUNZO MAALUM YA KIJESHI MAPINGA MKOANI PWANI
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani. Wa Pili kushoto anayevuta utepe ni Naibu…
SERIKALI YAIPA BIG UP HOSPITALI HUBERT KAIRUKI KWA UJENZI JENGO LA KISASA
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinodnoni, Dkt. Festo Dugange (kwanza) na Mama Kokushubira Kairuki ambaye ni mke wa Marehemu Hubert Kairuki (wa pili) wakiangalia ramani ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha kuwasaidia watu wenye matatizo ya kupata ujauzito kwa…





