JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wanafunzi St Anne Marie Academy watoa msaada kituo cha yatima Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WANAFUNZI wa shule ya St Anne Marie Academy wametoa msaada wa vitu mbalimbali kwenye kituo cha kulea yatima cha CHAKUWAMA jijini Dar es Salaam. Msaada uliotolewa na wanafunzi wa kidato cha sita wa…

Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria

RAIS wa Marekani Donald Trump ametangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria akisema kwamba ni wakati wa nchi hiyo “kusonga mbele” na hivyo kuipa nafasi ya kuanza kuufufua uchumi wake ulioporomoka kutokana na vita. Rais Donald Trump alisema kuwa Marekani haina mshirika…

Wanafunzi wa kidato cha sita 130 Milambo sekondari watimuliwa

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Wahitimu zaidi 130 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Milambo iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa Tabora wametimuliwa baada ya kuleta vurugu na kutishia kuchoma majengo ya shule hiyo. Uamuzi huo umechukuliwa na…

Rais Samia, hili la msamaha wa faini za ankara za maji, umekonga nyoyo za wananchi 

Na Dk. Reubeni Lumbagala Jamani eeeh! Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni mtu bingwa wa huduma za maji nchini. Pamoja na kwamba, serikali yake inafanya kazi usiku na mchana kuboresha maisha ya wananchi katika sekta…

MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza kutoa matibabu ya kibingwa bobezi bure kwa wananchi  wa Mkoa wa Dar es Salaam katika kambi maalumU ya matibabu iliyoanza Mei 11 hadi…

Jafo aonya vijana kunywa pombe kupita kiasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, ameitaka jamii kuzingatia matumizi ya pombe kwa kiasi, hasa pombe kali, kufuatia utafiti uliofanywa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) unaoonesha kuwa unywaji pombe kupindukia miongoni mwa…