JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kiteto wajiandaa kupokea mpango wa bima ya afya kwa wote

Na Mwandishi Wetu, Kiteto Kishindo kimeanza tayari kwa mapokeo na utayari wa Wilaya ya Kiteto katika mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kufuatia Kikao Maalum cha Kamati ya Afya ya Msingi (PHC) ngazi ya Wilaya kilichoketi Mjini Kibaya (Kiteto)…

TANAPA yafanya makubwa Zanzibar, Makamu wa Pili apongeza juhudi zake

Na Jacob Kasiri, Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amelipongeza na kusema kuwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limepiga hatua makubwa kuja kushiriki maonesho hayo ya kimataifa ya biashara…

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar afungua Maonyesho ya 12 ya Kimataifa ya Biashara ya Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla,amefungua rasmi Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 62 ya Zanzibar yanayiendelea katika viunga vya maonyesho vya Nyamanzi, Fumba mjini Unguja. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa…

Raia wa China mbaroni kwa tuhuma za kukutwa na fedha haramu zaidi ya bilioni 2/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kinondoni imefanikiwa kukamata raia wa China wakiwa na fedha haramu zaidi ya Shilingi bilioni mbili, katika operesheni maalum iliyohusisha vyombo mbalimbali vya uchunguzi. Akizungumza…

Simbachawene anadi mabadiliko makubwa uhamiaji

Mabadiliko Makubwa Uhamiaji Simbachawene apendekeza wasomee utalii Agusia kigezo cha elimu ili uajiriwe Uhamiaji Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imedhamiria kuiboresha Idara ya uhamiaji ikiwa ni mpango mkakati wa kuendelea kuboresha sekta ya utalii ambayo…

Tume ya Madini yaangazia fursa za uwekezaji maonesho ya kimataifa Zanzibar

‎Tume ya Madini kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Serikali na sekta binafsi inashiriki kikamilifu katika Maonesho ya 12 ya Biashara ya Kimataifa Zanzibar yanayoendelea katika eneo la Fumba, Zanzibar, kwa lengo la kutangaza fursa lukuki za uwekezaji zilizopo katika…