Latest Posts
Wengi wavutiwa huduma za msaada wa kisheria bure,wapongeza
Na Mwandishi Wetu, Morogoro MAELFU Mkoa Morogoroni wavutiwa na mpango wa huduma za msaada wa kisheria bila malipo na kuipongeza serikali wakisema mpango huo siyo tu unasaidia wananchi wenye kipato cha chini tu bali utapunguza migogoro ikiwemo mirathi, ndoa na…
‘SMZ kuimarisha mfumo wa kidigitali kudhibiti ajali’
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidigitali ili kudhibiti vifo vinavyotokana na ajali pamoja na makosa ya barabarani. Rais Dkt. Mwinyi ametoa kauli hiyo…
Waziri Homera azindua huduma bure za msaada wa kisheria Morogoro
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, amezindua kliniki ya huduma za msaada wa kisheria (Legal Aid Clinic) mkoani Morogoro, itakayotoa huduma za ushauri na msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi, ikiwa ni…
CPA Makalla awataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji magonjwa yasiyoambukiza
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Arusha .Mkuu wa mkoa wa Arusha ,CPA Amos Makalla amewataka wananchi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza yanayotolewa na Taasisi ya moyo ya Jakaya…
Naibu Spika Sillo aendelea kukagua miradi ya elimu Babati Vijijini
Na John Walter-Babati Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Mheshimiwa Daniel Sillo, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi ya elimu jimboni humo ambapo leo alitembelea Tarafa ya Bashnet,…
Sangu : Wamiliki wa viwanda toeni ushirikiano kwa OSHA
Na OWM – KAM (Mwanza) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia masuala ya usalama na afya mahali pa kazi ili kulinda ustawi wa wafanyakazi na kuongeza…





