JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Samia ahitimisha kampeni kwa kishindo Kigoma

*Mikataba ujenzi wa kiwanda cha meli waanza*Umeme wafika vijiji vyote, SGR kupaisha uchumi*Ujenzi wa barabara lami kubaki historia*Fidia ujenzi uwanja wa ndege kulipwa haraka Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Mgombe urasi wa Chama cha Mapinduzi Samia Suluhu Hassan amesema ahadi…

Ilani ya Uchaguzi ya CCM imelitazama kipekee kundi la vijana kwa kulijengea mazingira mazuri – Wasira

Na Mwandishi Weti, JamhuriMedia, Iringa MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025-2030 imelitazama kipekee kundi la vijana kwa kuhakikisha inalijengea mazingira mazuri ya kuliinua kiuchumi. Amesema moja ya maeneo…

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yasisitiza uhifadhi wa mto Mara

📍 Butiama, Mara Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imehimiza kuhusu uhifadhi wa mto Mara ili Kuuwezesha kudumu na kuwa endelevu Hayo yamejiri wakati wataalamu wa Tume wakiendelea kutoa elimu kwa wananchi wa Mkoa wa Mara, katika Maadhimisho ya Siku…

Kigogo ACT – Wazalendo Kigoma atimkia CCM

Na Kulwa Karedia,Jamhuri lMedia, Kigoma Mratibu wa Kanda Chama cha ACT Wazalendo, Said Rashid, ametangaza rasmi kuondoka na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kuvutiwa na utendaji wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan….

Manispaa ya Mji Kibaha kufungua shule mpya tatu za sekondari -Dk Shemwelekwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MANISPAA ya Mji Kibaha, mkoani Pwani Pwani, imejipanga kufungua shule mpya tatu za sekondari na kununua madawati 2,000 ikiwa ni miongoni mwa maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2026. Mkurugenzi wa Manispaa…

Jumuiya ya Wazazi yaeleza sababu Samia kuchaguliwa

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Kigoma Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa imeleeza sababu za mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi mkuu ujao. Imesema sababu kubwa ni maendeleo makubwa yanayoonekana maeneo mbalimbali. Akizungumza wakati wa…