Latest Posts
Ujangili Ruaha umepungua, haujakwisha
Alhamisi Oktoba 16, mwaka huu napigiwa simu na Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN), Stella Vuzo, kuwa nimeteuliwa kwenda kuripoti kazi zinazofanywa na Umoja huo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Uwezo wa kumpiga tunao, Sababu ya kumpiga tunayo
Hotuba ya Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa tarehe 2 Novemba, 1978 alipokuwa akitangaza vita vya kupambana na uvamizi wa majeshi ya Idd Amini katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Serikali ilipe madeni mifuko ya jamii
Hivi karibuni Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii (SSRA) iliwekwa ‘kitimoto’ na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyo chini ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na makamu wake, Deo Filikunjombe wa Ludewa.
Sumaye awe mkweli, hajawahi kuichukia rushwa
Nianze kwa maneno mepesi. Anachokifanya sasa hivi Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ni kutapatapa. Amegeuka kuwa mtu wa kulalama na kulalamika kila uchao utadhani ndiyo kwanza “anazaliwa”, na wala hajawahi kuwa mmoja wa vigogo wakubwa kabisa Tanzania.
Tusifanye majaribio katika urais 2015
Kadri muda unavyozidi kusonga mbele naona joto la kuwania urais linapanda. Joto hili linapanda kwa wanasiasa, wapambe wao na hata viongozi walioko madarakani wanaanza kuangaliangalia nani watamsaidia kushika dola kisha aendelee ‘kuwaenzi’.
Kikwete awakoroga wagombea urais
KAULI mbili zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kushika wadhifa huo mkubwa nchini, zimewachanganya baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza na wale wanaotajwa kuwania kumrithi.
- Rais wa zamani wa Malawi Chakwera akutana na Waziri Kombo
- Zaidi ya ajira 50,000 zimezalishwa kutokana na miradi mikubwa ya Serikali
- Wafanyabiashara waipa tano Serikali kutoa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima Ruvuma
- Ngorongoro ni nyumbani kwa kila binadamu – Kamishna Badru
- Waziri Mkuu: Tutaboresha bajeti ya elimu
Habari mpya
- Rais wa zamani wa Malawi Chakwera akutana na Waziri Kombo
- Zaidi ya ajira 50,000 zimezalishwa kutokana na miradi mikubwa ya Serikali
- Wafanyabiashara waipa tano Serikali kutoa ruzuku ya pembejeo kwa wakulima Ruvuma
- Ngorongoro ni nyumbani kwa kila binadamu – Kamishna Badru
- Waziri Mkuu: Tutaboresha bajeti ya elimu
- Hakuna zuio la kuanza utekelezaji wa mradi wa LNG – Dk Mwigulu
- Sheikh awasihi Watanzania kudumisha amani
- Chimwejo: Sekta binfasi iongeze nguvu kuzalisha mabaharia
- TB yatibiwa ndani ya miezi sita
- TMA yatoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa kwa mikoa mitano
- Lazarus Chakwera Rais Mstaafu Malawi awasili nchini kwa ziara ya kikazi
- Waziri Mkuu azindua Sera ya Taifa ya Usimamizi wa Ugavi
- Rais Samia achukua hatua kupunguza matumizi ya mafuta
- Jela miezi sita kwa kuzusha kuibiwa ‘nyeti’ Rukwa
- Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Chamwino Dodoma
Copyright 2025
Designed by
JamhuriMedia