Latest Posts
JWTZ: Hizi ni rasharasha
*Wasubiri wenzao A. Kusini, Malawi zianze za masika
*Kamanda: Matumaini ya Wakongo ni makubwa mno
*Waziri wa Ulinzi asema hali za vijana nzuri Brigedi ya Jeshi la Umoja wa Mataifa (UN) la Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (MONUSCO) inayoongozwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ipo salama na inajiandaa usiku na mchana kuhakikisha amani inarejeshwa katika eneo hilo. Habari za uhakika zinaeleza kwamba operesheni rasmi inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu baada ya vikosi kutoka Afrika Kusini na Malawi, kuungana na wenzao wa JWTZ ambao tayari wapo eneo hilo.
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Jeshi la ‘bodaboda’ latembeza mkong’oto wilayani Geita
Jeshi lisilo rasmi la vijana zaidi ya 60 wanaofanya kazi ya kubeba abiria kwa kutumia pikipiki (bodaboda), huku wakiimba kibwagizo cha ‘wapigwe tu’, wameteka mtaa na kutembeza kipigo kikali kwa abiria wao mmoja.
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
Habari mpya
- Amani ni msingi wabutalii, Malecela awataka wananchi kuilinda ili kukuza sekta ya utalii
- Uzinduzi vijana platform yapamba moto Kigamboni
- Tanzania yaweka historia nyingine
- Kikwete steps in: AU envoy pushes for lasting peace in South Sudan
- Tanzania yaingiza vipengele 41 tuzo za utalii Duniani
- Waziri Mkuu akutana na mabalozi wateule Dodoma
- Tanzania yaongeza kasi mageuzi makazi holela
- Wananchi 1,300 wanufaika na huduma za RITA kupitia ziara ya mwenyekiti CCM Kibaha Mjini
- Tanzania, Mauritius kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati
- Zoezi la kubadilisha Tahasusi na kozi za vyuo lafunguliwa rasmi
- REA yawasha umeme vitongoji 307 Namtumbo
- Prof. Shemdoe aelekeza wafanyabiashara soko la simu 2000 kuendelea na biashara
- Serikali yatoa ufafanuzi uteuzi wa mbunge Angela Kizigha
- Wasira : Nyerere alikuwa mtetezi wa wanawake, aliandika kitabu hakijachapishwa
- Makonda asimamisha Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania