Latest Posts
Jiungeni na vifurushi vya NHIF- Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa amewataka wananchi kujiunga na vifurushi vya Mfuko wa Taifa wa Bima ya afya wakati taratibu za utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote zikikamilika. Ametoa wito…
Katibu Matinda aweka mkakati wa ujenzi wa nyumba ya Katibu Jumuiya ya Wazazi Tarime
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Tarime Katibu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime mkoani Mara Raymond John Ole Matinda, amedhamiria kuanzisha mpango wa ujenzi wa nyumba ya katibu wa jumuiya hiyo kwa kushirikiana na Kamati…
Serikali yaja na leseni mpya maalumu ya uzalishaji chumvi
▪️Waziri Mavunde aelekeza kuanza mchakato wa mabadiliko ya sheria +Aelekeza kanuni kubadilishwa ili kupunguza tozo kwa hekta kufikia 20,000. ▪️Wazalishaji Chumvi wampongeza Rais Dk. Samia kwa ujenzi wa kiwanda cha mkoani Lindi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ipo mbioni…