Latest Posts
Samia arejesha fomu ya urais, CCM yatia nia kwa mara nyingine kuipeleka Tanzania juu zaidi
Na Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika hali ya hewa nzuri ya Jiji la Dodoma, asubuhi ya Agosti 27, 2027, historia imeandikwa tena pale Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika Ofisi za Tume Huru ya…
DC Nyasa awataka wananchi kutambua umuhimu wa lishe bora
-Asema Nyasa bila utapiamlo, udumavu, upungufu wa damu inawezekana -Wajawazito wahimizwa kutumia madini Chuma -Atoa rai kwa Wataalam wa Afya kuzingatia Weledi,ushirikiano kupata Matokeo Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri ametoa wito kwa wananchi…
Polisi yatoa wito kwa wagombea na wafuasi kuzingatia sheria, kampeni kuanza kesho
Kesho Agosti 28,2025 kama ilivyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kampeni za wagombea nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani zitaanza rasmi. Jeshi la Polisi Tanzania, lingependa kuwajulisha wananchi na wadau wote kuwa, lipo tayari na limejiandaa vizuri…
Madaktari China wampandikiza binadamu mapafu ya nguruwe
Madaktari bingwa nchini China wamefanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya upandikizaji wa mapafu kutoka kwa nguruwe hadi kwa binadamu. Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika utaratibu huo. Wanasema hilo linaoyesha uwezekano wa mafanikio katika upasuaji huo hata kama majaribio…
Nchimbi amkabidhi ofisi Dk Migiro, aahidi kuendeleza uimara
Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Asha-Rose Migiro, ameishukuru Kamati Kuu ya chama hicho kwa heshima ya kumteua kushika nafasi hiyo, akiahidi kushirikiana na viongozi wenzake kuendeleza uimara wa chama hicho kikongwe nchini. âAkizungumza Agosti 26,2025 katika…





