JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Iran yamesema haina imani na usitishwaji vita wa Israel

IRAN imesema siku ya Jumapili kwamba haina haina imani hata kidogo na hatua ya Israel ya kujitolea kusitisha mapigano na kuhitimisha makabiliano makali yaliyosababisha uharibifu kati ya maadui hao wawili. Mkuu wa majeshi ya Iran Abdolrahim Mousavi alinukuliwa na televisheni…

Mtetezi wa Haki za wenye ulemavu ajitosa kuwania Ubunge Mpwapwa

Na Dotto Kwilasa, Mpwapwa Mtetezi wa haki za watu wenye ulemavu Dodoma Maiko Salali amejiweka rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kuwania Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika ofisi za…

Mwalimu Abubakar Alawi achukua fomi kugombea ubunge Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Aliyekuwa Mwekahazina wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Abubakar Alawi, leo Juni 30, 2025, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake katika…

Peter Mashili kuvaana na Bashe Jimbo la Nzega Mjini

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya MASHILI COMPANY LIMITED ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mradi wa Uchenjuaji Dhahabu wa (Matinje Mining, Msilale Mining na Igurubi Mining) Ndg Peter Andrea Mashili ametangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Nzega Mjini…

Koka achukua fomu kutetea Jimbo la Kibaha Mjini

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya wagombea kumi wamechukua fomu za kugombea ubunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, akiwemo mbunge aliyemaliza muda wake, Silvestry Koka, katika kipindi cha siku mbili tangu kuanza kwa zoezi hilo tarehe 28 Juni, 2025….

Rais Samia, Ndayishimiye wazindua Kiwanda cha Kisasa cha Mbolea

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi, Meja Jenerali Mstaafu Evariste Ndayishimiye, leo wamezindua rasmi Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM kilichopo Nala, Jijini Dodoma…