JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Urusi yaishambulia Kyiv kwa kombora na droni – Meya

Takriban watu tisa wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa, wakiwemo watoto, katika shambulio la usiku la kombora la Urusi na ndege zisizo na rubani kwenye mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, amesema afisa wa eneo hilo. Meya wa Kyiv, Vitali Klitschko amesema…

Lissu agoma kesi kusikilizwa kwa mtandao, viongozi CHADEMA wakamatwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kesi ya inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amegoma kusikilizwa kwa njia ya mtandao. Ulinzi mkali umeimarishwa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, hususani katika eneo la…

Serikaki Kibaha kuunga mkono wawekezaji wa ufugaji nyuki

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Serikali wilayani Kibaha, mkoani Pwani, imeeleza dhamira yake ya dhati ya kuunga mkono juhudi za wawekezaji katika sekta ya ufugaji nyuki ili kuhakikisha wafugaji wadogo waliopo vijijini wananufaika kiuchumi na kielimu. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu…

Kinachojirudia Somanga ni aibu

Barabara inayounganisha mikoa ya kusini mwa Tanzania; Mtwara, Lindi na mikoa ya Pwani na Dar es Salaam ni miongoni mwa barabara kubwa na muhimu nchini. Ni barabara ambayo ilikuwa imesahaulika kama si kutelekezwa kwa miaka mingi baada ya Uhuru, na…

Bungeni hakukaliki

*Wabunge wacharuka chama kufanya mabadiliko, uamuzi mzito bila kuwashirikisha *Wawaambia ‘wakubwa’ Makao Makuu: Kama hamtutaki au mmetuchoka mtueleze tujue moja *Spika, ‘Chief Whip’ wakumbwa na hofu kuwapo uwezekano wa bajeti kadhaa kukwama *Rais Samia aingilia kati, azungumza na Dk. Nchimbi…

Congo na M23 wakubali kutafuta amani

Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda, siku ya Jumatano waliahidi katika taarifa iliyotolewa baada ya mazungumzo nchini Qatar kutafuta amani baada ya ghasia kupamba moto mwezi Januari huko Mashariki mwa Congo,…