JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali kuanzisha jukwaa la kidigitali kwa vijana

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wizara ya Maendeleo ya Vijana imeazimia kuanzisha jukwaa la kidijitali la huduma jumuishi (youth digital one stop platform) ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa za ajira, mafunzo, fursa za mikopo, masoko, na huduma nyingine…

Serikali yasisitiza usalama ,mapato mpakani Mutukula

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amehimiza ushirikiano kati ya watumishi wa serikali waliopo katika Kituo cha Forodha cha Pamoja cha Mutukula kilichopo wilayani Misenyi mkoani Kagera ambapo ni mpaka kati ya nchi…

Uongozi wa APRM wakutana na viongozi wa vyuo vikuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Dar es Salaam Katibu Mtendaji wa Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika wa Kujitathmini kwa Vigezo vya Utawala Bora (APRM) Tanzania,ย  Lamau Mpolo, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa wanafunzi kutoka vyuo…

Katambi aagiza kulindwa ushindani wa haki, akemea ukiritimba wa bei

Na MwandishibWetu, JajhuriMedia, Darc3s Salaam Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Patrobas Katambi (Mb), ameliagiza Baraza la Ushindani (FCT) kuendelea kusimamia na kulinda ushindani wa haki ili kuondoa vitendo vya ukiritimba, hususan katika suala la kupandisha bei za bidhaa na…

Kids Holiday Festival yawavuta mamia ya watoto, CRDB yatumia jukwaa kujenga uelewa wa fedha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BURUDANI na michezo mbalimbali vilitawala Tamasha la Kids Holiday Festival lililowakusanya mamia ya watoto wakati wa likizo, huku likiwa jukwaa muhimu la kuwajengea watoto uelewa wa masuala ya fedha, uchumi na ujasiriamali tangu…