Latest Posts
Jaji Mkuu awakumbusha waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi
· Asema Mahakama haitosita kusimamia sheria dhidi ya waajiri wanaokiuka masharti ya sheria · Wafanyakazi nao wasisitizwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo bila kusukumwa na kuwa na ujasiri ili kutoa taarifa za ukiukwaji wa sheria za usalama mahala pa kazi na taarifa muhimu nyinginezo Na…
Waziri Kombo awalisi nchini Singapore kwa ziara ya Kikazi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo amewasili nchini Singapore kwa ziara ya kikazi inayotarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 25 -29 Agosti 2025. Akiwa katika ziara hiyo Waziri Kombo atashiriki katika matukio mbalimbali…
Marafiki wa Tanzania watoa msaada wa vifaa vya elimu Kipalapala
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora MARAFIKI wa Tanzania kutoka nchini Italia (Amici Della Tanzania) wametoa msaada wa vifaa vya elimu na kuboresha vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Kipalapala iliyoko katika kata ya Itetemia Mjini Tabora. Vifaa vilivyokabidhiwa ni…
Bondia Zugo atwaa mkanda wa ubingwa wa dunia
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BONDIA Abdul Zugo wa Tabora amempiga kwa KO raundi ya tatu bondia Sameer Kumar kutoka India na kuvishwa Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa Uzito wa Kati katika pambano la Kimataifa lililoandaliwa na Shirikisho la…
Waziri Gwajima azindua mradi wa kusaidia watoto wanaoishi na kufanyakazi mtaani
Na WMJJWM-Dar es Salaam Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amezindua mradi wa kuwasaidia watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani (Children in Street Situation (CiSS) utaotekelezwa katika mikoa ya Dar Es Salaam,…





