Latest Posts
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga
📌 Asisitiza dhamira ya Serikali ni kupeleka umeme maeneo yote Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa kilometa 1. Mhe….
Watahiniwa 974,229 wafaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, 61 wafutiwa matokeo yao
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 974,229 kati ya 1,204,899 waliofanya mtihani ambao nisawa na asilimia 80.87 ya watahiniwa wenye matokeo wamefaulu mtihani wa kumaliza Elimu ya Msingi 2024. Aidha Baraza la Mitihani Tanzania limefuta matokeo…
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Musuguli afariki dunia
Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake, Butiama mkoani Mara. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali…
Bashungwa atoa agizo kwa Katibu Mkuu, TEMESA kupiga kambi Mafia kurejesha huduma ya kivuko
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Baada ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, kukamilisha ziara maalum mkoani amechukua hatua ya haraka kwa kumpigia simu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour, pamoja na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa…
TMA yajivunia ushirika na wanahabari, yatoa tuzo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMwdia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Bodi Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari amewapongeza waandishi wa habari kwa kuhamasika, kuandika kwa umahiri na weledi kisha kusambaza taarifa za hali ya hewa. Jaji…
Mwanasiasa wa upinzani Malawi atuhumiwa kupanga njama ya kumuua rais
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Malawi ameshtakiwa kwa kupanga njama ya kumuua Rais wa nchi hiyo, Lazarus Chakwera. Patricia Kaliati, Katibu Mkuu wa chama cha UTM, alikamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za “kula njama na wengine kutenda kosa kubwa”….