JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tanzania kinara wa uwekezaji mkubwa wa madini kwa kampuni kutoka Australia

Na Mwandishi Wetu TANZANIA imetajwa kuwa nchi kinara kwa Bara la Afrika ambayo kampuni za Madini za Australia zimewekeza kwa asilimia 21 ya uwekezaji wote wa kwenye Sekta ya Madini. Hayo yameelezwa leo Perth, Australia wakati wa mkutano wa Africa…

Wenye ulemavu wapewa nafasi kugombea na kushiriki uchaguzi 2024/2025

Na Mwamvua Mwinyi, Jamhurimedia, Pwani Umoja wa Amani Kwanza Mkoani Pwani, umetoa rai ya Ushirikishwaji wa Watu Wenye Ulemavu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwani ni haki Yao ya msingi. Katika mkutano uliofanyika Kibaha, Umoja huo umetoa wito kwa…

CHAUMA, wakulima wa mbaazi wamuangukia Rais Samia

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Zaidi ya wakulima 1000 wa zao la Mbaazi wa wilaya za Chemba na Kondoa Mkoani hapa wameiomba Serikali kuona haja ya kuutazama upya mfumo wa stakabadhi ghalani kwani unakiuka malengo ya kumkomboa mkulima na badala yake umekuwa…

ISOC-TZ yawajengea uwezo vijana katika usimamizi wa mitandao

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Internet Society Tanzania Chapter(ISOC-TZ) kupitia jukwaa la usimamizi wa mtandao Tanzania Internet Governance Forum(TzIGF) imeendesha mafunzo kwa vijana kuwajengea uwezo katika masuala ya usimamizi wa mitandao. Akizungumza katika Mafunzo hayo yaliyofanyika…

Ubelgiji yaunga mono agenda ya nishati safi – Dk Biteko

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ubelgiji imesema inaunga mkono kampeni ya Nishati Safi ya kupikia na hivyo imeonesha  nia ya kushirikiana na Tanzania katika matumizi ya nishati hiyo kwa maendeleo ya Bara zima la Afrika iliyoasisiwa…