JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Serikali yatangaza mpango wa utoaji chanjo na utambuzi wa mifugo kitaifa kuanzia Januari 2025

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025 ambapo Shilingi Bilioni 28.1 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mpango…

Vijana watakiwa kushiriki kikamilifu katika uhakiki wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira, na wenye ulemavu) Ridhiwan Kikwete amewata Vijana kushiriki kikamilifu katika uhakiki wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa kutoa maoni…

Bongo movie watia neno kuelekea usiku wa Mafia Boxing

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Sakaam Wasanii kutoka katika kiwanda cha filamu nchini Bongo movie wametoa mitazamo yao kuelekea siku ya tarehe 26 disemba ambapo kutashuhudiwa mfululizo wa mapambano ya ngumi. Usiku huo uliopewa jina la “Knockout ya mama”…

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia

📌Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo 📌 Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana 📌 JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji…

CP Wakulyamba : Serikali itaendelea kukipa thamani Chuo cha Likuyu Sekamaganga

Na Mwandishi Wetu,JamuhuriMedia Namtumbo, Songea Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba amesema Serikali itaendelea kukipa thamani chuo cha Likuyu Sekamaganga kutoa mafunzo ya uhifadhi wa maliasili ya jamii ili kushiriki…