JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Marekani yaridhishwa na mageuzi ya kiutendaji ya Serikali ya Rais Samia

Yaahidi kuendelea kutoa fedha kuisaidia Tanzania kutatua vikwazo vya ukuaji uchumi Shirika la Changamoto za Milenia (Millennium Challenge Corporation-MCC) la Serikali ya Marekani limeeleza kuridhishwa kwake na mageuzi ya mifumo ya kiutendaji, yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika maeneo mbalimbali…

Vijana wa kike waaswa juu ya uthubutu katika shughuli za ujenzi na uhandisi

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Vijana wa kike nchini wameaswa juu ya uthubutu katika shughuli za masuala ya ujenzi na uhandisi. Ushauri huo umetolewa hapo jana katika mkutano wa mkuu wa nane wa masuala ya ujenzi uliofanyika katika…

Ruto amteua Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais

Rais William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ajaye kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limewasilishwa bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang’ula alitangaza uteuzi huo katika Kikao…

Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu – Mwanaidi

📌Asema majiko yanayotoa nishati safi ya kupikia ni salama 📌Ataja Wanawake kuathirika zaidi na matumizi ya nishati zisizo safi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya…

Kuna uwezekano wa kiongozi wa Hamas kuuawa -IDF

Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) na Shirika la ujasusi Shin Bet wamethibitisha uwezekano wa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar, kuuawa katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa Gaza. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israeli, uwezekano wa…

Kibaha yafikia asilimia 33 ukusanyaji wa mapato robo ya kwanza 2024/2025

Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Kibaha Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani, imeongeza mapato yake ya ndani kutoka asilimia 23 hadi asilimia 33 katika kipindi cha robo ya kwanza (Julai-30 Septemba) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Aidha, halmashauri hiyo inaendelea…