Latest Posts
REA : Tutaendelea kufanya tafiti za bidhaa za nishati safi za kupikia zinazosambazwa kwa wananchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala utaendelea kufanya tafiti za bidhaa za Nishati Safi za Kupikia ili kubaini ufanisi wa teknolojia zinazosambazwa kwa wananchi. Mhandisi Saidy amesema hayo…
Askari endelezeni mazoezi ya karati – CP Hamad
Kamishna wa Polisi Zanzibar CP. Hamad Kamos Hamad amewataka askari wa Jeshi la Polisi kuendeleza mazoezi ya karate kwa lengo la kuongeza ukakamavu na kujiamini. Akipokea vifaa vya michezo kutoka Jumuiya ya Korea Friend of Hope huko Madungu, Wilaya ya…
Rais Samia ameibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kimataifa – Dk Biteko
📌 Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar 📌 Ahamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia 📌 Apongeza ubunifu wa mita za kupimia gesi 📌 Wadau wahamasishwa kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia Imeelezwa kuwa, Rais…
JKCI yaendelea kuwa kivutio kwa mataifa ya Afrika
Madaktari nane Congo kuja kujifunza kuanzia Jumatatu Na Mwandishi Wetu, JakhiriMedia, Dar es Salaam MADAKTARI nane kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, wanatarajiwa kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), kwaajili ya kujifunza namna taasisi hiyo ilivyopiga hatua…