Latest Posts
TAMISA: Wawekezaji sekta ya madini wapeni kipaumbele Watanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA) kimezitaka kampuni za kigeni zinazowekeza katika sekta ya madini nchini kuhakikisha zinatoa kipaumbele kwa Watanzania katika ajira, utoaji wa huduma na usambazaji wa…
Siku 100 za Dk Samia zaweka historia ujenzi wa miundombinu nchini
📌Serikali yatoa zaidi ya Shilingi Bil 500 kulipa makandarasi‎ ‎Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeweka historia mpya katika eneo la King’ori, jijini Arusha na maeneo mengine nchini kwa kuweka tumaini jipya kwa wananchi kupitia…
Serikali kufungua fursa za ajira kupitia mikataba mitano
*Mikataba 16 ya Ajira Kimataifa ipo Katika Hatua za Mwisho Serikali Kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano imesaini Mikataba Mitano ambayo itawawezesha wananchi kupata ajira Nje ya Nchi. Hayo yamesemwa Februari 7, 2026 Jijini Dar es…
Prof. Shemdoe aridhishwa na maandalizi ufunguzi soko la Kariakoo
Na OWM- TAMISEMI, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameridhishwa na hatua iliyofikiwa ya maandalizi ya ufunguzi Soko Kuu la Kariakoo lililopo Ilala Jijini…





