JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kihongosi afurahishwa na hoja zenye mashiko bungeni na mbunge wa Jimbo la Itimila

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amemsifia na kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu Njalu Silanga kwa namna anavyowasilisha bungeni hoja zenye mashiko na zenye…

EWURA yashiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAFANYAKAZI wanawake wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo 8 Machi 2026, wameungana na wanawake wengine kutoka maeneo mbalimbali kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika ngazi ya Mkoa  wilayani Kongwa mkoa…

Rais Samia apongezwa kwa uongozi mahiri katika sekta ya maliasili na utalii

Na John I. Bera, Kongwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa uongozi wake mahiri na shupavu katika kuliongoza Taifa la Tanzania, ambapo ameendelea kuimarisha sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya maliasili na utalii…

Waziri Kijaji : Serikali kutoa bilioni 8.1/- kukarabati miundombinu Serengeti

Na Jacob Kasiri, JamhuriMedia, Serengeti Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari…

Bilioni 6.8/- zatumika katika usambazaji gesi asilia majumbani Lindi, Mtwara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mkuranga Jumla ya sh bilioni 6.8 zimetumika katika ufadhili wa mradi wa usambazaji wa gesi asilia majumbani katika mikoa ya Lindi na Pwani. Hayo yamebaiika leo Machi 8, 2026 wakati wa ziara ya kutembelea miradi ya…

Atakayebainika kuuza pembejeo feki kufilisiwa – Dk Mwigulu

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali itachukua hatua kali ikiwemo kufilisiwa kwa yeyote anatakayebainika kuhujumu wakulima kwa kuwauzia pembejeo zisizokuwa na ubora zikiwemo mbegu. Ameyasema hayo leo Jumapili, Machi 08, 2026 alipozungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara…